Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili

Couverture
Dl2a - Buluu Publishing, 10 avr. 2024 - 352 pages

Kitabu cha Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini Tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya kuona. Utafiti unaonesha umuhimu wa elimu katika kubadilisha mtazamo hasi dhidi ya ualbino na kujenga jamii inayojumuisha kila mtu.

Aidha, kitabu kinajadili jinsi gani ualbino unavyoonekana katika jamii na fasihi, na kinaonyesha kwamba mitazamo inabadilika pale watu wenye ualbino wanapotambuliwa kwa mchango wao katika jamii. Kuna mifano katika fasihi ambapo wahusika wenye ualbino wanathaminiwa na kukubalika, hali inayochangia kupunguza unyanyapaa na kuendeleza ukubalifu wa kijamii.


 

Table des matières

Section 1
3
Section 2
8
Section 3
15
Section 4
30
Section 5
65
Section 6
77
Section 7
82
Section 8
84
Section 10
131
Section 11
168
Section 12
193
Section 13
274
Section 14
278
Section 15
302
Section 16
342
Droits d'auteur

Section 9
130

Expressions et termes fréquents

À propos de l'auteur (2024)

Elizabeth Godwin Mahenge ni mwalimu wa Kiswahili kwa wageni na wenyeji. Vilevile ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuuza Kiswahili kwa njia ya masafa ya Swahili Speaking Center ambayo makao yake makuu ni Dar es Salaam Tanzania. Anajulikana pia kwa majina mbalimbali yakiwemo ‘MWANAHEGO’, ‘MAMAARIDHIO, ‘MAMAKAIFA’, ‘MAMA WA SPESHONIDI’ kila jina lina historia yake. Kwa sasa mwandishi ni mfanyakazi wa vyuo vikuu maarufu duniani ambavyo ni: Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam nchini Tanzania na University of Cape Town in South Africa. Ameandika vitabu mbalimbali vyenye maudhui mbalimbali ambavyo baadhi vinapatikana Swahili Speaking Center, LULU.COM, AMAZON.COM, na BULUU PUBLISHING.

Informations bibliographiques